Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja na nongwa lakinj pamba wakafungwaAll the best
Umeamua kumgawa mume wako!. We endelea naye tu, atakufaa siku mojaMume wako alif kifungilo mushi
Mtanda FC 0~1 Simba
Utopolo leo wote wapo upande wa huyo mubaba wao...Tofautisha majungu na tabia za hovyo!
Kwamba ukishakuwa kiongozi basi unavunja utaratibu hata wakati wa kuswali!
Ooh kwahiyo walimtuma akamwange mapongo uwanjaniUtopolo leo wote wapo upande wa huyo mubaba wao...
Ni mpuuzi sana yule!Nlimuona siku ya kwanza huyu jamaa ni mtu wa kujiskia
AiseeeHuu muda wa kumpiga majungu mwanaume mwenzio ungetumia kumtumia baba yako pesa huko kijijini ili aache kula michembe