Saidi Ndemla kufanya majaribio Sweeden

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001


Klabu ya Simba inayofuraha kutangaza kuwa mchezaji wake Hamis Said Juma (Ndemla) amepata nafasi ya kwenda kufanya majaribio ya kucheza soka la kulipwa nchini Sweeden.

Ndemla amepata nafasi hiyo katika klabu ya AFC Eskilstuma inayoshiriki ligi kuu, Ndemla anatarajiwa kuondoka nchini kesho ambapo atakuwa kwenye majaribio ya siku 14 nchini humo.

Klabu ya Simba inaamini Ndemla atafanya vizurinakufuzu majaribio hayo. Klabu ya Simba inaendelea kuamini katika kutoa nafasi kwa wachezaji wake kwenda nje kujaribu bahazi za kucheza soka la kulipwa.

Kero
Halafu Omog anamuingiza dogo dakika ya 85,huku ni kumuharibia mtu maisha
 
Omong n fala kama mafala wengine
 
Akakazane sasa huko ili achaguliwe.
Pigana dogo hizi nafafasi ni adimu sana.
 
Namkaribisha sana mtanzania mwenzetu ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…