OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Klabu ya Simba inayofuraha kutangaza kuwa mchezaji wake Hamis Said Juma (Ndemla) amepata nafasi ya kwenda kufanya majaribio ya kucheza soka la kulipwa nchini Sweeden.
Ndemla amepata nafasi hiyo katika klabu ya AFC Eskilstuma inayoshiriki ligi kuu, Ndemla anatarajiwa kuondoka nchini kesho ambapo atakuwa kwenye majaribio ya siku 14 nchini humo.
Klabu ya Simba inaamini Ndemla atafanya vizurinakufuzu majaribio hayo. Klabu ya Simba inaendelea kuamini katika kutoa nafasi kwa wachezaji wake kwenda nje kujaribu bahazi za kucheza soka la kulipwa.
Kero
Halafu Omog anamuingiza dogo dakika ya 85,huku ni kumuharibia mtu maisha