Saidia kutoa jina kwa mwanangu. Help to name my son

Huyo mtoto mkapime DNA
Kama unaomba watu wa mtandaoni kumpa jina Kuna mawili
1. Either umebambikwa
2. Mlipeana mimba na mke au yeyote aliye mzaa mtoto bila makubaliano ( bahati mbaya)

Mwite MALYANGILI Bashite
Mkuu siyo hivyo. Nimeamua kuweka fursa kwa members wenzangu kushirika katika hilo jambo. Ni upendo wangu kwenu.
 
Salam kweni wakuu,
Nipo nawaza jina la kumpa mwanangu bado nipo alijojo ni jina gani limfae. Hadi sasa majina yanayonijia ni haya
1.Magufuli
2.Lissu
3.Trump
4.Durtete
5.Kim Jong un.
6.Makonda
7.Bashite
Maoni yenu tafadhari
Maraga !
 
Huyo mtoto wako au umesingiziwa???!!
 
Huyo mtoto wako au umesingiziwa???!!
Sasa hiyo inahusiana nini? awe wangu ama sio wangu lakini amezaliwa ndani ya nyumba yangu. Kwa hiyo nisimpe jina?
Kilicho bora haleti mashaka yoyote yale kama ungependa kusikia hilo.
 
Sasa hiyo inahusiana nini? awe wangu ama sio wangu lakini amezaliwa ndani ya nyumba yangu. Kwa hiyo nisimpe jina?
Kilicho bora haleti mashaka yoyote yale kama ungependa kusikia hilo.
Haya
 
Salam kweni wakuu,
Nipo nawaza jina la kumpa mwanangu bado nipo alijojo ni jina gani limfae. Hadi sasa majina yanayonijia ni haya
1.Magufuli
2.Lissu
3.Trump
4.Durtete
5.Kim Jong un.
6.Makonda
7.Bashite
Maoni yenu tafadhari
Bambo bole? Tumepewa mtoto mmoja nini maana hata mimi nmepata son (nimeambiwa ni wangu) halafu hilo jina linaonesha wa kwetu wewe[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…