Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
- Thread starter
- #21
Nashukuru mkuuNi bora umuite KIM...atakuwa ni mtoto anae jisimamia kwa Maamuzi yake kama Lissu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru mkuuNi bora umuite KIM...atakuwa ni mtoto anae jisimamia kwa Maamuzi yake kama Lissu.
Mkuu siyo hivyo. Nimeamua kuweka fursa kwa members wenzangu kushirika katika hilo jambo. Ni upendo wangu kwenu.Huyo mtoto mkapime DNA
Kama unaomba watu wa mtandaoni kumpa jina Kuna mawili
1. Either umebambikwa
2. Mlipeana mimba na mke au yeyote aliye mzaa mtoto bila makubaliano ( bahati mbaya)
Mwite MALYANGILI Bashite
Sasa akiweka na ubin wangu itakuwa sentensi.Mashinji Dereva Lissu.
Nakuthibitishia hii ni ukweli. Haya ni majina yanayo trend sana kwa mwaka huu.Changamsha genge hii,.. Hakuna ukweli hapo.
Maraga !Salam kweni wakuu,
Nipo nawaza jina la kumpa mwanangu bado nipo alijojo ni jina gani limfae. Hadi sasa majina yanayonijia ni haya
1.Magufuli
2.Lissu
3.Trump
4.Durtete
5.Kim Jong un.
6.Makonda
7.Bashite
Maoni yenu tafadhari
Sasa hiyo inahusiana nini? awe wangu ama sio wangu lakini amezaliwa ndani ya nyumba yangu. Kwa hiyo nisimpe jina?Huyo mtoto wako au umesingiziwa???!!
Hii italeta shida kidogo katika utambuzi wake.Muite Asiyejulikana.
HayaSasa hiyo inahusiana nini? awe wangu ama sio wangu lakini amezaliwa ndani ya nyumba yangu. Kwa hiyo nisimpe jina?
Kilicho bora haleti mashaka yoyote yale kama ungependa kusikia hilo.
Bambo bole? Tumepewa mtoto mmoja nini maana hata mimi nmepata son (nimeambiwa ni wangu) halafu hilo jina linaonesha wa kwetu wewe[emoji23]Salam kweni wakuu,
Nipo nawaza jina la kumpa mwanangu bado nipo alijojo ni jina gani limfae. Hadi sasa majina yanayonijia ni haya
1.Magufuli
2.Lissu
3.Trump
4.Durtete
5.Kim Jong un.
6.Makonda
7.Bashite
Maoni yenu tafadhari
Hapo litasomeka kama Mashinji Dereva Lissu Mpalakugenda. Ni jina zuri la kiasili mkuu. Na mtoto atakuwa na maisha mema.Sasa akiweka na ubin wangu itakuwa sentensi.