Ndugu wa JF
It is not time to talk na kulumbana na mafisadi but time to act .Let us Act now .Mwanakijiji pokea minchango .Mafisadi wanataka kutumaliza .Wakimmaliza Kubenea wana hamia Tanzania Daima then JF .Na hapa watamtumia shy kutumaliza .Naomba tufanye kweli tafadhali .Nina suggest tuanze mfuko wa kumsaidia Kubenea na Mwana Halisi .Je wewe unasemaje ?
Umesema, sisi wa huku bongo tunawashauri Mwanahalisi wafungue account CRDB na NBC tutadeposit direct kwenye account zao. Nyie mlio ughaibuni kusanyeni hizo pesa then mzi tume huku
Ndugu wa JF
It is not time to talk na kulumbana na mafisadi but time to act .Let us Act now .Mwanakijiji pokea minchango .Mafisadi wanataka kutumaliza .Wakimmaliza Kubenea wana hamia Tanzania Daima then JF .Na hapa watamtumia shy kutumaliza .Naomba tufanye kweli tafadhali .Nina suggest tuanze mfuko wa kumsaidia Kubenea na Mwana Halisi .Je wewe unasemaje ?
Mwanakijiji
Amekuwa akiishi kwa matukio kama misiba ili apate michango,kwanini akusanye yeye wakati hana elimu ya kutunza fedha na hana kibali cha kuishi marekani akipata deportation si ndio pesa zitakuwa zimepotea? tumieni ruzuku yenu mnayokula makao makuu.
Kwani Zitto Kabwe si ana uwezo kwanini asitafute vyanzo vya kuliendeleza gazeti lake? kuliko kupitisha bakuli hapa JF?

This is too low .I have never expected such comments from someone like you .I thought you were a joker kumbe leo naamini sasa ni mtupu kweli kweli .What is the connection hadi uangushe matusi makubwa namna hii kwa Mwanakijiji ? Ulikuwa na ulazima wa kuandika kama hukuwa na hoja ama hukupenda jambo hili ? Chapa kazi utatambuliwa na Mwanakijiji anatambulila kwa michango yake ya aina zote .Na hata hili ni wazo si lazima awe mwanakijiji kupokea michango .Again naomba wenye nia tuendelee na michango .We can deposite pesa hizo kwenye account .Kubena come out toa Bank account ama Wakili wa Kubenea apewe hizi pesa .

Apewe nani? Mwanakijiji sio muaminifu amekula hadi michango ya yatima Kilimanjaro. kwanini msimpe Kitila Mkumbo ni makini ukiacha ujinga wake wa kutumia jina la kizanzibar huku hajui hata linavyoandikwa.Umesema, sisi wa huku bongo tunawashauri Mwanahalisi wafungue account CRDB na NBC tutadeposit direct kwenye account zao. Nyie mlio ughaibuni kusanyeni hizo pesa then mzi tume huku
Nina heshima kubwa kwako,kusema kuwa Mwanakijiji ak.a mwafrika wa kike si muaminifu ni kosa? ungeuliza ushahidi sio kunishambulia tu. nina ushahidi wa utapeli wa huyu Mwafrika wa kike kitendo cha yeye mwanaume kutumia majina ya kike ni utapeli tosha,
huyu alituchangisha maiti ya Tobby huku walikuwa pamoja kwenye biashara zao chafu.
michango ya Ukraine alikula Mwanakijiji acha kupenda kijinga kama zezeta.
Apewe nani? Mwanakijiji sio muaminifu amekula hadi michango ya yatima Kilimanjaro. kwanini msimpe Kitila Mkumbo ni makini ukiacha ujinga wake wa kutumia jina la kizanzibar huku hajui hata linavyoandikwa.
huyo dada wa London unamsema sana kakuchukulia Mbowe wako? mzee mzima au chupa ya wine? chuki za kidini na kikabila mnazo Chadema ndio maana mmeunda chama chenye mlengo wa kikabila na ukristu.Lunyungu,
Wewe achana na huyo kwa ni wasomaji makini wa JF wanamjua dada Chinga/mswahili/mtalii kuwa ni mpinga maendeleo ya Tanzania na kuwa chuki zake za kidini na kikabila zilimfanya atolewe London na kurudishwa bongo.
Hasira zimemjaa mama huyu kwa hiyo anachukia kuona maendeleo. Mchango wake hata kama akitoa itabidi upelekwe kule Bagamoyo kununua vitabu vya watoto wa shule.
Usijikombe kombe kwa Kitila Mkumbo!
Mwanakijiji
Amekuwa akiishi kwa matukio kama misiba ili apate michango,kwanini akusanye yeye wakati hana elimu ya kutunza fedha na hana kibali cha kuishi marekani akipata deportation si ndio pesa zitakuwa zimepotea? tumieni ruzuku yenu mnayokula makao makuu.
Kwani Zitto Kabwe si ana uwezo kwanini asitafute vyanzo vya kuliendeleza gazeti lake? kuliko kupitisha bakuli hapa JF?
pole sana kwa ujinga wako ndio maana umeshindwa hata kupata kibali halali cha kuishi huko. RO na JK wanakunyima raha kiasi hicho? hawatumii makombo ya Mbowe.Mtu kama yeye mwenye kashfa kibao una sauti gani hapa ya kutoa conclusive remark. Kujiita mwanamme wakati mwanamke unadhani ni kila mtu anafanya hivyo.
Kila mtu hapa unadhani ni mwanaume. Umwemwita bi sent na da asha kwa majina mengine na sasa unataka kuleta hili kwangu. Kitu kimoja tu kinakuangusha ni kuwa una chuki na hasira baada ya kufukuzwa kazi kwa chuki zako za kikabila na kidini na baada ya RO na KIkwete kupata somebody else.
katika hili unacheza bado na moto.
Alikuchangisha na nani? Unadhani hata ukileta udaku wako hapa ndio utakuwa umezuia michango ya kumsaidia Kubenea?
Wewe huo mchango wako wa kifisadi peleka huko huko makao makuu ya kifisadi.
huyo dada wa London unamsema sana kakuchukulia Mbowe wako? mzee mzima au chupa ya wine? chuki za kidini na kikabila mnazo Chadema ndio maana mmeunda chama chenye mlengo wa kikabila na ukristu.
Shame on you.
pole sana kwa ujinga wako ndio maana umeshindwa hata kupata kibali halali cha kuishi huko. RO na JK wanakunyima raha kiasi hicho? hawatumii makombo ya Mbowe.