Lunyungu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 8,873
- 1,906
- Thread starter
- #321
Ndiyo maana nimesema mimi Lunyungu nitauza hata shati langu na viatu the nitaingia Mahakamani kusikiliza kesi nikiwa tumbo wazi kabisa na bia ya viatu .Vita ni vita unatumia silaha uliyo nayo kupambana.OK sasa GT na Rostma mmekaribishwa rasmi Mahahakani.
Siasa za majitaka ambazo ndiyo nguvu ya mtandao sasa zinataka kuvuka mipaka ? No amesema mkutane Mahakamani mpo hapo ?
Siasa za majitaka ambazo ndiyo nguvu ya mtandao sasa zinataka kuvuka mipaka ? No amesema mkutane Mahakamani mpo hapo ?