Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 60
walipita wote hao na jee magazeti hayo yalichangiwa?
na tukishakuchanga na Rostam akifuta kesi jee? pesa yetu itakwenda wapi?
Wewe hutachangia kwa hiyo pesa yako itakwenda kwenye defense fund ya Rostam Azizi.
Kwa watakaochangia mwanahalisi, pesa yao itakwenda kuwalipa walinzi wa sero atakayowekwa huyo mwizi na mkoloni mwenye uraia wa utata -Rostam Azizi - pale ukongo
tunaomba kwanza kesi ifike inapofika, kisha mwanahalisi aje hapa atueleze shida yake kama anayo, kama hana shida yoyote, sijaona sababu bado ya kuchangia BLINDLY mwanahalisi.
Wewe usichangie mkuu!
wao ni wafanya biashara, na wamefuja kwenye biashara yao, i am sure wana means ya ku deal na suala hili, watakapojua hawana means, wataleta tatizo lao hapa na tutajadili cha kufanya
Mwanahalisi hawajaleta ombi lao hapa kuomba msaada lakini hata kama wangeleta hapa ningechangia ili wampe hell huyo mwizi na mkoloni mwenye uraia wa utata anayekwiba mabilioni ya pesa za watanzania na kuacha watoto wadogo na mama wajawazito bila msaada au dawa hospitalini.