Zitto ndio mwenye gazeti ni biashara yake na si Charity. anafanya biashara na analipwa kwa matangazo kama amekwama kibiashara aende benki kukopa sio kuja kupiga bakuli hapa.Heeee huyu jamaa vipi?
Zitto anawafanya mnaweweseka enhh? I can see!
Heeee huyu jamaa vipi?
Zitto anawafanya mnaweweseka enhh? I can see!
Zitto ndio mwenye gazeti ni biashara yake na si Charity. anafanya biashara na analipwa kwa matangazo kama amekwama kibiashara aende benki kukopa sio kuja kupiga bakuli hapa.
mbona magazeti mengine yakipata mtihani wa kikazi wanalipa wenyewe.
basi na MBOWE tumchangie humu akalipe deni lake NSSF.
Acha unafiki wewe kibaraka wa MAFISADI, kwanza mchango wako tuna wasi wasi nao, maana wewe ni completely fisadi
Mie sina chuki za kijinga kama wewe Mwanakijiji ambaye unachuki tu kila kitu kwa failure yako ya maisha.Kitila ana nini hadi nijikombe wakati kafukuzwa hadi na Mrema? ukweli ni muaminifu kuliko wewe.ambaye unaishi kwa misiba, migomo. JF na KLHNEWS.
Na wewe sasa unaboa. Kwanza una ushahidi gani Mwanakijiji ndiye Mwafrika wa Kike? Nina uhakika huna. Yaani hapa unajichoresha tu.
Ngabu,
ukisikia kuishiwa hoja ndiko huku!
SOkomoko,
huyu mama anataka kubadili hii thread ili mchango kwa Kubenea usifanyike maana hicho ndicho kilichobaki kuwa ajira yake toka kwa Rostam Azizi hasa baada ya kutoswa na JK na RO kwa umri wake na chuki zake dhidi ya dini ya kikristo.
This is beyond kuishiwa hoja. Ni uwendawazimu in progress.....
Kwani nani huyu?hebu nipeni data zake na mimi nimchambue. namshangaa mama mzima uso umejikunja anatoa shutma za mwanakijiji na kujipendekeza kwa wengine!mie nilidhani dume kumbe jike maana maneno yake yamekakamaa ile mbaya mbovu!
Kweli ishi uone vioja sasa hayo maudhui anayopost mbona hayaendani na hii thread?
Ushauri kwa Mwafrika wa kike.
Usibishane na mjinga kwani sisi tutashindwa kuwatofautisha mwache aseme akimaliza atanyamaza michango itachangwa na huyo Bwana wake RA tunamngojea kikaangoni!
Kuna wengine wanatafuta sababu ya kufungiwa ili baadaye waanze rants zao against JF.
Nimempa ushauri atulie tu atapata "kazi" nyingine lakini naona mwenzangu chuki na hasira vimefunika uwezo wa kawaida wa kufikiri na kuchangia hoja hapa.
Mwafrika wa kike nipe basi jina kamili la huyu mama.
Huyu mama mwislamu gani?au mwislamu jina?yeye anataka waislamu gani waingie serikalini?kwenye serikali ipi?maana waislamu ni watu wasafi waingie kwenye serikali hii inayonuka kwa ufisadi?yaani wajitengenezee kuni kesho akhera?kumbuka wee mama chinga mchunga ataaulizwa alichokichunga! na kikwete ataulizwa kwa Mungu alivyotawala usidhani mskhara shauri yenu! sie waislamu safi tume kaa kimya nyie wakuchoka mnapayuka na usikute unakaa kwenye nyumba ya kupanga na mwenye nyumba ni mkristo au umezaa na mkristo we mama wewe ohooo shauri yako!
Acha chuki za kidini kuwa mdini sio lazima upendeleo wa wakristo kujipendelea hata wewe unachokifanya ni udini.
Naomba sasa turudi kwenye mada .Naomba huyu jamaa ama Mama atafute ama aanzishe mada yake juu ya matatizo yake na wandugi wa hapa online .Naomba tuendelee kumchangia Kubenea na gazeti letu la Mwana Halisi.
Ngabu,
ukisikia kuishiwa hoja ndiko huku!
Balozi wa London ni mwanamke hata hili hulijui?Chuki za kidini mnazo nyinyi Chadema wajinga.Hapa JF hairuhusu kutoa majina ya membaz so kwa hili naona itabidi ukose jibu hapa.
Kuhusu chuki za kidini nakupa home work ufuatilia kilichotokea ubalozi wa London toka RO arudi bongo na kuhusu mfanyakazi mmoja aliyeleta patashika huko la kufitinisha wakristo kwa vile ana chuki kibao za kidini.
Kina JK wameshindwa kumvumilia na wameamua kumrudisha nyumbani ingawa bado hajapoteza ajira yake serikalini. Ukifuatilia vyema unaweza hata kupata jibu la swali lako la kwanza.
mimi naweza kuchangia kupitia kwenye account. Je kuna tatizo lolote au hatari yeyote kufanya bank transfer (maana hawa jamaa hawakawii kuanza kututress na kutubambikizia kesi). Kama hivyo inawezekana kutuma pesa kwa ndugu su jamaa wakadeposit moja kwa moja kwenye account
MwK,
Just a favor please - between 1 and 10, with 10 being absolutely certain, and, 1 less certain - how true is it that, Chinga kweli ni Mwana mama?
Tumetoka naye mbali huyu, na kama mwana mama anaweza kuwa mtu mwenye chuki kwa mtu (Mkjj) na dini (watu wa kanisa) kama huyu, basi nitashangaa kweli. Tukiwa na watu 500 tu nchini hapa wenye chuki kama huyu, tutaanza kukatana mapanga!