Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 60
hili sawa nichapinga ni kupewa michango huyu bwana Chopa MWANAKIJIJI kila tukio anasema tuchange na yeye ndiye mshikaji wa michango. alituchangisha mchango wa muuza madawa mwenzake aliyepata ajali kazini.
mara watoto yatima mara Ukraine na huko kote hakuna AUDITING? wakati jamaa hana kazi wala kibali halali.
hili sawa nichapinga ni kupewa michango huyu bwana Chopa MWANAKIJIJI kila tukio anasema tuchange na yeye ndiye mshikaji wa michango. alituchangisha mchango wa muuza madawa mwenzake aliyepata ajali kazini.
mara watoto yatima mara Ukraine na huko kote hakuna AUDITING? wakati jamaa hana kazi wala kibali halali.
Sokomoko,
Huyu mama bado anachuki na hasira za kupoteza "kazi" yake pale London. Haya yote ni ya kuhamishia hasira zake kwa her second enemy - JF
Sokomoko,
Wewe soma kinachoendelea na uchambue pumba na mchele. Watu kama hawa hawawezi kuachiwa wakasema udaku na uongo hapa as if wao ni miungu. Wana uhuru wa kufanya chochote kupitia media za Tanzania lakini hapa JF watakabwa koo mpaka kieleweke.
Huyu ninamfahamu vilivyo na hata ukimwacha hanyamazi. Akitoka kweye hii ID atakuja na nyingine ya mswahili/mtalii na zingine kama tatu hivi - fuatilia utazijua.
Kwa vile mods wanamruhusu amwage rants zake hapa, ngoja nimpe run for her money!
Sasa kama unamjua na unajua alikuwa London kwanini humtaji kwa jina tumjue? una agenda gani?au unamwogopa?
MwK,
Just a favor please - between 1 and 10, with 10 being absolutely certain, and, 1 less certain - how true is it that, Chinga kweli ni Mwana mama?
Tumetoka naye mbali huyu, na kama mwana mama anaweza kuwa mtu mwenye chuki kwa mtu (Mkjj) na dini (watu wa kanisa) kama huyu, basi nitashangaa kweli. Tukiwa na watu 500 tu nchini hapa wenye chuki kama huyu, tutaanza kukatana mapanga!
Haswaa basi anaogopa kunitaja mimi ataweza mafisadi? unaogopa Mwanamke bwana Mashaka(Mwanakijiji)?Sasa kama unamjua na unajua alikuwa London kwanini humtaji kwa jina tumjue? una agenda gani?au unamwogopa?
Sema wewe kaka.
kuna uongo hauna kichwa kama huuu.mimi naweza kuwa binti? ni sawa na mtu kuniambia kuwa Mwafrika wa kike ni Mwanamke, kweli kuna mwanamke anaweza kukesha hapa JF toka july hadi sasa akawa na michango elfu 4? na akawa anaishi marekani kama Mwanakijiji na akawa ana ufukurukutwa wa Chadema kama Mwanakijiji na akawa hana kazi kama Mwanakijiji.
wale wanawake vichwa wa Chadema walioko bungeni hatuwasikiii bungeni wanasinzia tu,ilikuwaje usipewe wewe Mwafrika wa kike hapa JF? Jee ni coincedence?
Mwafrika wa kike ana michango kuliko Mnyika, Zitto na Kitila, kweli kuna mwanamke atakuwa na courage ya kushinda kutwa nzima humu kutuma posts za kuisifia Chadema tu.
sawa na yule anayetumia jina la Asha Abdalla kujifanya anaishi Znz HUKU wakati wa uchaguzi Chadema walihangaika kutafuta mgombea kiasi cha kumchukua JUMBE ambaye ni marehemu sasa na anatoka Tanga hadi ukaja utata na ofisi ya msajili wa vyama. baada ya kufariki akaletwa Anna Komu na kuambiwa kuwa ni Mzanzibar.
Mwanakijiji utadanganya wachache na sasa wamekushtukia kwa kunizulia mimi ni mwanamke wa London. umefeli bwana Mashaka.
Naomba please spare my topic .Naomba sana sana tumchangie Kubenea .Haya ya mengine wekeni mada mpya .Mwafrika Mwanamke learn to ignore .Unarefusha habari pasipo sababu .Huyu kesha onekana shida .Naomba tuendelee na michango na hil tuliache tafadhali linaondoa maana ta bandiko hili .
Haswaa basi anaogopa kunitaja mimi ataweza mafisadi? unaogopa Mwanamke bwana Mashaka(Mwanakijiji)?
Sijataka kuharibu mchango wenu, nimetoa ushauri kuwa Mwanakijiji hana historia ya uamini na hana shughuli ya kueleweka ya kumuingizia kipato. nikakupa option kuwa bora apewe Kitila kwanza anajulikana na ana shughuli ya kumpatia riziki yake.
unajua unapoweka pesa benki hakuna mizengwe sasa kwenye kuchukua unatakiwa uje na prove nyingi na jamaa(Mwanakijiji) anaishi kimachimbo machimbo.
Dua zake ziko kwa Obama akiingia atatoa vibali kwa waliokwama kama huyu mheshimiwa yeye hapa JF ndio chimbo lake.
Ipe heshima gender yako. Huku wengine tunakoishi wanawake wanapewa heshima sawa na wanaume!
Endelea kuheshimu gender yako. Kujiita mwanamme ili watu wasijue kilichokupata London baada ya chuki zako za kidini kujulikana sio suluhisho
Wewe si mwanamke wa London tena maana umeshatolewa huko na kurudishwa bongo kusubiria post nyingine - labda Irani!
Unajikomba komba kwa KItila sasa?
Wewe mchango wako wa kifisadi hata hautakiwi hapa. wana JF wanachangia kwa their best way na Kubenea atapata usaidizi hata kama ukijaribu kuharibu hii thread!
hili sawa nichapinga ni kupewa michango huyu bwana Chopa MWANAKIJIJI kila tukio anasema tuchange na yeye ndiye mshikaji wa michango. alituchangisha mchango wa muuza madawa mwenzake aliyepata ajali kazini.
mara watoto yatima mara Ukraine na huko kote hakuna AUDITING? wakati jamaa hana kazi wala kibali halali.
Unajichanga kama MBOWE YUKO MGONGONI KWAKO.mara useme niko ubalozini nikisema taja unadengua. samahani mie nimeumbika sana kiume, usije kulia.kamdengulie Mbowe anayekuMUVUZISHA.Wewe hata level ya ufisadi wa kutajwa hapa JF hujafikia. Ukitajwa hapa haitasemwa ID yako ya JF maana ni sheria za JF kutotaja majina ya Membaz.
Mie siishi kwa hisia kama wewe.unakumbuka ulipiga simu BBC kwa ajili ya wanafunzi wa Ukraine uliulizwa swali gani na ukashindwa ukatoka mkuku? kama una redio na unashindwa kunijua kwa maandishi haya au una bifu na Mwanamke wa ubalozini ambaye hakukunyima visa ya UK lakini una hasira zae hiyo ni juu yako na bwana wako Mbowe.
naomba unipe jibu la BBC kama wewe mtu wa heshima kwenye jamii kwanini walikukataa?
Kitila ni zezeta kama wewe,ndio maana anasoma masomo ya kike.sasa sijui chadema mnabiashara gani na uke uke?kweli wazima nyinyi au MBOWE kawaharibu mmekuwa si riziki na kila mtu mnamuona mwanamke anawaharibia biashara yenu. kasome ushauri wangu haya hayakusaidii kitu.
Unajichanga kama MBOWE YUKO MGONGONI KWAKO.mara useme niko ubalozini nikisema taja unadengua. samahani mie nimeumbika sana kiume, usije kulia.kamdengulie Mbowe anayekuMUVUZISHA.
Kitila ni zezeta kama wewe,ndio maana anasoma masomo ya kike.sasa sijui chadema mnabiashara gani na uke uke?kweli wazima nyinyi au MBOWE kawaharibu mmekuwa si riziki na kila mtu mnamuona mwanamke anawaharibia biashara yenu. kasome ushauri wangu haya hayakusaidii kitu.
We mama unamu admire mzee mwanakijiji?basi mpe PM mzee mwanakijiji something fishy here umekataa nini huyu mama mbona kila post mwanakijiji mwanakijiji inakuwaje mzee mzima?hebu tupe hint.
Alieuliza kuhusu kutuma pesa haina neno kutuma direct mnamuogopa nani? nyie tutawapa swift code hapa JF kisha mtadeposit huko huko hata msipotaja majina yenu halali au watumieni watu wennye majina ya kikimbizi huko.