Endeleaaa
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 1,485
- 739
Bwana Mnyika ni Vyema mkawa na premium namba ya michango na muitangaze kwenye media at any cost watu wajue na waizoee. Watanzania kuunga foleni bank hiyo ni kero nyingine wasioipenda. kwa mfano Kuchangia ziara za Dr Slaa, tuma neo Slaa kwenda number 15xxx utakuwa umechangia kiasi cha 300. hiyo italeta mhamasiko na michango itakuwa mingi kuliko hiyo ya kwenda kuunga foleni CRDB na NMB.