Kwa sasa michango kwa ajili ya ziara za Dr Slaa inaweza kupitia kati ya akaunti zifuatazo wakati akaunti nyingine inafunguliwa:
Benki: CRDB, Akaunti Namba: 01J1080100600, Jina: CHADEMA M4C
Au
Benki: NMB, Akaunti Namba 2266600140, Jina: Chama Cha Demokrasia na Maendeleo
Ukiweka mchango tafadhali itaarifu ofisi kupitia info@chadema.or.tz
JJ
Mnyika na Lwakatare tafadhalini sikia kilio cha watu wanataka kuchangia kwa M-Pesa system kwa sababu wengi huona usumbufu kupanga foleni benki, na wengi hasa vijijini hawako karibu na benki wengine hata kuingia ndani ya benki hawajawahi lakini wanataka kuchanga, Please.
Hata hivyo kwenda benki na kutoa sh. 300 ni kuongeza karaha kwa watumiaji wengine. Mnaonaje kufikiria mpango huo wa M-Pesa? Unawapunguzia wachangiaji usumbufu na matumizi ya muda wao pia, vile vile unawahakikishia Chadema kupata michango mingi zaidi.