Saido akwama, Simba wakwama ufungaji bora

Siku ya Leo ikiisha, bado hajafahamika mfungaji bora, itabidi bodi ya ligi ishirikiane na chama cha mieleka Tanzania, waandae mpambano kati ya Babu SAIDOO na predator FISTON makwega7 KALALA MAYELE.
Atakaemdondosha mwenzake ndie mshindi wa kiatu.
Au mnasemaje wadau?
 
Aaaah saido amekauka ......kichwa kama jiwe.....atatuulia mayele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…