cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
How?? [emoji23][emoji23][emoji23]Yajayo yanafurahisha mkuu..... don't u want to be a part of it????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
How?? [emoji23][emoji23][emoji23]Yajayo yanafurahisha mkuu..... don't u want to be a part of it????
Wamemlazimisha apige nae hataki magoli ya dizaini hiyo na ndio maana hakusikitika.Mbna mayelee alipaishaaaa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Atajijua yeye [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wamemlazimisha apige nae hataki magoli ya dizaini hiyo na ndio maana hakusikitika.
MxxxxiiiieeeewJoin Yanga.....
Aaaah saido amekauka ......kichwa kama jiwe.....atatuulia mayeleSiku ya Leo ikiisha, bado hajafahamika mfungaji bora, itabidi bodi ya ligi ishirikiane na chama cha mieleka Tanzania, waandae mpambano kati ya Babu SAIDOO na predator FISTON makwega7 KALALA MAYELE.
Atakaemdondosha mwenzake ndie mshindi wa kiatu.
Au mnasemaje wadau?