The African Pablo
Member
- Jul 18, 2019
- 33
- 32
Baada ya kushinda Uefa na hivi leo kama atashinda Afcon ni jambo lisilopingika, Sadio Mane anastahili kuwa mchezaji bora wa dunia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini mkuu?.Je, atapata nani?Kama ballondoir sawa, ila ballon d'or hapati kamwe
Naunga mkono hoja.Apewe tuBaada ya kushinda uefa na hivi leo kama atashinda afcon ni jambo lisilo pingika, Saido Mane anastahili kuwa mchezaji bora wa dunia.
Allison becker ana EPL ya mwaka gani??VP kuhusu Allison Becker maana naye ana copa America gilokipa bora UEFA Champions league pia epl na amechaukua kikombe cha UEFA Huon Kama amepitwa nashangaa huyu atajwi Sana
Ubaguzi nao ni kikwazo sanaSioni kwa nini asiwe walau top3, kama zi kuwa winner wa ballon d'or, kafanya vyema sana katika club yake na hata timu ya taifa ya Senegal.
Mane alipata golden boot EPL, moja ya league bora ulimwenguni, ubingwa wa UCL, na sasa anaweza pata ya golden boot AFCON na pia kunyanyua AFCON.
Kama ubaguzi ukiwekwa kando statististics zinamruhusu kutwa tuzo hii. Ni kipi haswa kitazuia yeye kupata tuzo hii????