Haya mambo nouma Sana , hasa Africa kuna ushirikina mkubwa Sana kwenye soka, kpind tukiwa wadogo kwenye ligi za ng'ombe za kijiji , Kaka zangu wakiwa wanachezea timu ya kijijini tulikuwa tunaenda Kwa waganga Kama wote yaani , sometyme mganga anakuja usiku , mnaenda uwanjani usku wa manane kuweka madawa na moja ya shrti maarufu ni kuwa , mpira ukianza Tu , mchezaji wa Kwanza wa timu yenu atakayeunasa mpira shart aupige nje....
Mbali na ulozi huo bado tulikuwa tunachapika Tu , sometyme tunashinda , ilikuwa amsha amsha sana na mipira ilikuwa inapasuka hatari