Saido Ntibanzokiza afunguka ya Moyoni! Inasikitisha

Kipindi hicho nikiwa nacheza mpira ligi za mchangani tu ilikuwa ligi ya mwambambe aise tuliletewa maji ya maiti tuoge walahi na jamaa yangu tulikimbia kama hatuna akili vizuriii maana tulikimbia peku.
Km kuoga maji ya maiti ulikimbia,je kula yai viza mbona ungezimia?Kuna stori zingne za vijiwen lakin mtu anaziamin
 
Wacha weeeee
 
Kibwana shomari
 
Huyu Saido ni mchezaji mzuri ila ana kibri sana. Yaani amejengwa ktk hali ya kudhani yeye ni bora kuliko wengine wote. Hata anapokaa na wenzie huwa anajiona ni wa tofauti sana.wenzake wanakasirishwa anakuwa na special treatment. Kibri anacho na hayo maneno anayaongea sana kwa watu kuonesha yeye hana shida sana ila Yanga ndo yenye shida naye.
 
Watu wanakunywa maji ya maiti sembuse yai viza, yanaliwa mzee
 
Vilabu alivyopitia hakuna hata mchezaji mmoja wa yanga anaeweza kupita acha awe na kibri....
 
Umenikumbusha Ajibu akiwa uto ule game yao na Simba, mpira kuanza tu akaupiga nje!
 
Kwenye soka la bongo sio Yanga wala Simba wasioroga...
 
Yanga ni timu yangu lakini tuna miaka 20 kwa sasa kuifikia simba
Usidanganywe na yanayotokea, Simba ni imepata mtu mwenye fedha tu na ikawa na mabadiliko ya muda mfupi. Simba kama Simba haina fedha wala kujengeka kitaasisi.Moo akisema anajitoa hapo Simba, Simba haina tofauti na Gwambina au KMC.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu habari za uongo, yai viza linaliwa vipi?? Nyau FC wanaokoteza uzushi wa kubance mambo yao.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…