Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Lakini si matokeo umeyaona! Maana lile kombora lingeweza hata kuleta matatizo ya kiafya kwa Kakolanya.Kwani ni siri?
Mchizi alikataa kupigwa chale za ulimi kwakua yeye dini yake haimruhusu
Kina mayele bado wana vidonda vibichi