Saido Ntibazonkinza acha Kutulalamikia Maskani tumekuchoka bali waambie tu Yanga SC yako Ukweli

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Wewe kila ukija Maskani Mikocheni Kupiga Stori na Kukutana na Marafiki zako Wanamuziki wa Bendi za Dansi kutoka Congo DR kazi yako ni Kulalamikia tu.

Unasema unachukizwa na Klabu ya Yanga kukufanya Wewe ndiyo Mkalimani wa Kocha Mkuu Nabi badala ya kuwa Wanakupanga ucheze Uwanjani.

Tulikuonya kuwa mwaka huu Usisajili tena Yanga SC na rudi kwenu ukaendeleze Maisha yako ukatupuuza sasa pambana na hali yako hapo hadi Ukome na labda Siku zingine utajifunza Mpuuzi mkubwa Wewe.
 
Sikuwa natambua kuwa Saido ni member wa jamiiforum au pengine mwanzisha mada hujitambui.
 
Sawa tushajua kuwa huwa mnapiga stori na kina Saidoo, huko mikocheni
Kuna namna nyingi sana za kuwajulisha umma kuwa unaishi Masaki au Mikocheni. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Sio hivyo tu,akumbuke kuwa kaja kucheza mpira yanga na ni lazima awe na nidhamu,anataka kuwa mkubwa kuliko yanga?au anajivunua utajiri wake?

Anakumbuka alichomfanyia mwambusi?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kaze na Zahera wanaongea french na kiswahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…