Tetesi: Saido Ntibazonkiza asajiliwa Yanga sc

Saidio ni mchezaji mzuri ukilinganisha na Hawa wachezaji wetu wa kibongo labda kusema alikuwa analipwa pesa nyingi hivyo Simba wakaona wamuache
Wewe unaujua mpira.

Yaani Said akija kwenye timu yenu akasema jamani mimi bado ninahitaji kuendelea kucheza mpira naomba mnilipe kiasi kidogo cha pesa, hauwezi kumuacha Said. Mpira anaujua na bado mwili unadai na anawashinda wachezaji wengi tu wa Kibongo!
 
Hivi DCEA na lile Zoezi lao la Kuwasaka Wavuta Bangi Wakomavu Tanzania na Wabwia Unga limeishia wapi kwa sasa?
 
Katika hali tu ya kawaida, unaona jambo kama hii linawezekana?
Yaani kusajiliwa kwa mwamba wenu wa Lusaka ndiyo kumewavuruga kabisa akili, kiasi cha kubakia tu kuweweseka na kufurahisha genge!
 
Kuna mtu humu JF anatamani kucheza simba, wanasimba mpeni connection ili atumikie iyo klabu yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…