Wewe unaujua mpira.Saidio ni mchezaji mzuri ukilinganisha na Hawa wachezaji wetu wa kibongo labda kusema alikuwa analipwa pesa nyingi hivyo Simba wakaona wamuache
Yaani Said akija kwenye timu yenu akasema jamani mimi bado ninahitaji kuendelea kucheza mpira naomba mnilipe kiasi kidogo cha pesa, hauwezi kumuacha Said. Mpira anaujua na bado mwili unadai na anawashinda wachezaji wengi tu wa Kibongo!