Saidoo anaaga Simba? Tazama hapa alichopost hivi punde

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
1713777236112.png
Mchezaji wa Simba Saidoo Ntibazonkiza amekuwa kwenye midomo ya mashabiki wengi wa Simba wakiamini anapewa nafasi kubwa kuliko anavyostahili.

Leo 22/04/2024 kupitia ukurasa wake wa Instagram amepost maneno yanayoashiria kumalizika kwa jambo fulani. Ujumbo huo unasomeka "Kila lenye mwanzo hua na mwisho Alhamdulillah"

Je, jambo hili linaweza kuwa ishara kuwa amefikia mwisho wa kuitumikia Simba?
 
Hii inaonyesha

- huwa unajishtukia sana ukiona status za watu unahis wanakusema wewe. Maana hapo hata hajasema lipi hilo lenye mwanzo unamuwekea tu maneno mdomoni.

Kwakwel katika vitu kwangu mwiko kufanya, ni kueleza hisia za changamoto zangu kwenye status za simu. Siwezi
 
Lile zee Saidooo alitakiwa kuondoka zamani sana angalau Baleke ama Phiri mmoja angebaki. Jitu lina uchoyo wa kutoa pasi utazan linacheza Draft!
Aende tu akalee wajukuu hata nauli akipenda tutamchangia.
Kabisa
 
Hii inaonyesha

- huwa unajishtukia sana ukiona status za watu unahis wanakusema wewe. Maana hapo hata hajasema lipi hilo lenye mwanzo unamuwekea tu maneno mdomoni.

Kwakwel katika vitu kwangu mwiko kufanya, ni kueleza hisia za changamoto zangu kwenye status za simu. Siwezi
Je, jambo hili linaweza kuwa ishara kuwa amefikia mwisho wa kuitumikia Simba?

Mimi nimemuelewa sana.
 
Asa itakuwaje

Boko kaondoka huyu nae mnataka aondoke. Kwa kweli hatukubali, kwahili tutauana kwa bakora.

Kwanza Boko arudishwe
 
Haiwezekani wazee wetu waondoke, tutahakikisha Mzee Saido na wazee wenzake wanabakia mitaa ya Msimbazi!
 
Mchezaji wa Simba Saidoo Ntibazonkiza amekuwa kwenye midomo ya mashabiki wengi wa Simba wakiamini anapewa nafasi kubwa kuliko anavyostahili.

Leo 22/04/2024 kupitia ukurasa wake wa Instagram amepost maneno yanayoashiria kumalizika kwa jambo fulani. Ujumbo huo unasomeka "Kila lenye mwanzo hua na mwisho Alhamdulillah"

Je, jambo hili linaweza kuwa ishara kuwa amefikia mwisho wa kuitumikia Simba?
Akaunti feki hiyo!! Mtaweweseka sana!
 
Back
Top Bottom