Saidoo anaaga Simba? Tazama hapa alichopost hivi punde

Saidoo anaaga Simba? Tazama hapa alichopost hivi punde

Simba si hawajafungiwa kusajili, waingie tu mfukoni wachukue magarasa tena.
 
Mchezaji wa Simba Saidoo Ntibazonkiza amekuwa kwenye midomo ya mashabiki wengi wa Simba wakiamini anapewa nafasi kubwa kuliko anavyostahili.

Leo 22/04/2024 kupitia ukurasa wake wa Instagram amepost maneno yanayoashiria kumalizika kwa jambo fulani. Ujumbo huo unasomeka "Kila lenye mwanzo hua na mwisho Alhamdulillah"

Je, jambo hili linaweza kuwa ishara kuwa amefikia mwisho wa kuitumikia Simba?
ataenda kengold
 
Nitashangaa sana kama timu ya simba itaendelea kuwakumbatia wachezaji wazee kwenye msimu ujao, badala ya kufanya usajili wa wachezaji wengi vijana na wenye vipaji vya hali ya juu.
 
Back
Top Bottom