😂😂😂😂😂Lile zee Saidooo alitakiwa kuondoka zamani sana angalau Baleke ama Phiri mmoja angebaki. Jitu lina uchoyo wa kutoa pasi utazan linacheza Draft!
Aende tu akalee wajukuu hata nauli akipenda tutamchangia.
Bora asepe zake!Mchezaji wa Simba Saidoo Ntibazonkiza amekuwa kwenye midomo ya mashabiki wengi wa Simba wakiamini anapewa nafasi kubwa kuliko anavyostahili.
...
KabisaLile zee Saidooo alitakiwa kuondoka zamani sana angalau Baleke ama Phiri mmoja angebaki. Jitu lina uchoyo wa kutoa pasi utazan linacheza Draft!
Aende tu akalee wajukuu hata nauli akipenda tutamchangia.
Je, jambo hili linaweza kuwa ishara kuwa amefikia mwisho wa kuitumikia Simba?Hii inaonyesha
- huwa unajishtukia sana ukiona status za watu unahis wanakusema wewe. Maana hapo hata hajasema lipi hilo lenye mwanzo unamuwekea tu maneno mdomoni.
Kwakwel katika vitu kwangu mwiko kufanya, ni kueleza hisia za changamoto zangu kwenye status za simu. Siwezi
Kwa hiyo timu ikimtaka mchezaji inaweka mpunga au mchezaji anaomba kuondoka.Sio Saidoo tu hata Inonga kaomba kuondoka, Far Rabat wanamtaka
Hiyo sentensi baada ya alama ya mkato ni tetesi hasa baada ya Inonga kudai anataka kusitisha mkatabaKwa hiyo timu ikimtaka mchezaji inaweka mpunga au mchezaji anaomba kuondoka.
Akitaka kusitisha ni. SawaIla terms and agreements zizingatiweHiyo sentensi baada ya alama ya mkato ni tetesi hasa baada ya Inonga kudai anataka kusitisha mkataba
Hapana mkuu nauli hatumpi, auze vitu vyake afanye nauli.Lile zee Saidooo alitakiwa kuondoka zamani sana angalau Baleke ama Phiri mmoja angebaki. Jitu lina uchoyo wa kutoa pasi utazan linacheza Draft!
Aende tu akalee wajukuu hata nauli akipenda tutamchangia.
Kwa tabia anazo onyesha sasa hivi bora aondoke tuAkitaka kusitisha ni. SawaIla terms and agreements zizingatiwe
Akaunti feki hiyo!! Mtaweweseka sana!Mchezaji wa Simba Saidoo Ntibazonkiza amekuwa kwenye midomo ya mashabiki wengi wa Simba wakiamini anapewa nafasi kubwa kuliko anavyostahili.
Leo 22/04/2024 kupitia ukurasa wake wa Instagram amepost maneno yanayoashiria kumalizika kwa jambo fulani. Ujumbo huo unasomeka "Kila lenye mwanzo hua na mwisho Alhamdulillah"
Je, jambo hili linaweza kuwa ishara kuwa amefikia mwisho wa kuitumikia Simba?