Mchezaji wa Simba Saidoo Ntibazonkiza amekuwa kwenye midomo ya mashabiki wengi wa Simba wakiamini anapewa nafasi kubwa kuliko anavyostahili.
Leo 22/04/2024 kupitia ukurasa wake wa Instagram amepost maneno yanayoashiria kumalizika kwa jambo fulani. Ujumbo huo unasomeka
"Kila lenye mwanzo hua na mwisho Alhamdulillah"
Je, jambo hili linaweza kuwa ishara kuwa amefikia mwisho wa kuitumikia Simba?