William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Ukweli unauma lkn lazima usemwe. Kama Okra, Phiri, Israeli mwenda ndio waliofunga magoli kuipeleka Simba makundi hawachezi. Na Mgunda anamshauri mzungu awaache au amuingize mkude tusitegemee muujiza.
Na Hawa wazawa Hawa akina Boko wanataka mzungu afukuzwe ili wazee wampe timu Mgunda waanze kumpiga virungu tu. Ile tumekupambania Sana
Kwa mda huu mkude haijawahi kuwa Bora sema sawadong alikuwa mbovu Sana kuliko mkude lkn mkude Ni mbovu Sana.
Baleke sio mchezaji wa kufunga kwa bahati kusitudanganye. Bora kibu anasumbua beki na control anayo.
Kkkosi kilichoanza Angola ndio kingetupeleka mbali. Kwasababu okra hajaenda sehemu yake akae Kapombe.
Simba Sasa inategemea full back kufanya mashambulizi huu Ni upuuzi na mzaha mkubwa.
Angola mwenda akipanda okra anarudi na anakaba kikamilifu. Hivyo hivyo kwa sacko na Huseni.
Sawadongo anakaba timu hana msaada kwa timu kwenye mashambulizi.
Saidoo na chama hawawezi cheza pamoja mechi ya mkakati ata kidogo. Saidoo mzee na chama Yuko sloo ukijumuisha na Boko Basi hakuna timu
Mzungu afanye maamuzi pekeyake akipigwa apigwe pekeyake. Akimtegemea Mgunda ampe mbinu alizotumia kuingia makundi timu itamuacha Uganda uko uko.