Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walishasema anamalizia msimu huu jamani! Ila ka Saido ni kazee. Nimewahi kukahudumia kwenye makambi ya wakimbizi Kigoma hako!Saidoo anatakiwa aondoke baada ya msimu huu.
Nachelea kusema uongozi wa simba ndio wenye kumng'ang'ania saidoo
Ukiondoa magoli yake msimu huu Simba itakua nafasi ya ngapi?Nisiwe mnafiki kila nikimuona saido uwanjani huwa nakereka kuliko kawaida.
Dirisha dogo la January aliongezewa miaka miwili, bado yupo sana godfather wa BujumburaWalishasema anamalizia msimu huu jamani! Ila ka Saido ni kazee. Nimewahi kukahudumia kwenye makambi ya wakimbizi Kigoma hako!
Sioni faida ya Saidoo anavheza mpira wa ubinafsi sana ni ujinga kumuacha miquesone njeMe nilishawahi kusema na nitaendelea kusema Ntibazonkiza ndio anamnyima uhuru chama, sababu nafasi anayocheza ndio alikua akiicheza chama na kwa ubora takribani misimu yote aliyocheza simba.
Lakini tangu alivyokuja saido muda mwingi tunaona chama akichezeshwa winga, linkup ya saido na chama haifanyi kazi kabisa nilitegemea baada ya mapinduzi CUP luiz angeanza kupata nafasi sababu ni mchezaji mwenye hatari zaidi ya Saido na combination yake na Chama nadhani ni bora zaidi maana walishacheza pamoja na kwa ufanisi mkubwa ilikua ni kuwatafutia tu watu wengine wawili wa kuendana nao.
Nilisema hapa juzi kuwa aliye karibu na Miquisone amshtue aondoke zake Simba akatafute timu itakayoweza kumtumia vizuri kwani benchi la ufundi Simba halijui namna ya kumtumia. Kumpanga Saidoo dakika 87 halafu Miquisone unampa dakika 3 huo ni uzwazwa. Hili limesababisha Miquisone akose "match fitness" aliyoipata baada ya Mapinduzi Cup sasa amerudi tena kujitafuta upya.Sioni faida ya Saidoo anavheza mpira wa ubinafsi sana ni ujinga kumuacha miquesone nje
Hakuna mwanayanga anaefurahia robo final kwasababu ni kitu cha kawaida tu ndio maana simba anafika mara kwa mara tunachofurahia ni kumpiga mtu 4 halafu wakawa wanagombana wenyeweUTOPOLO nimegundua walikuwa wanasubiri kuingia robo fainali kwà hamu sasa furaha imezidi afya ya akili kifupi MASHABIKI wa UTOPOLO hawako sawa