ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
- Thread starter
-
- #21
Yule aliipenda Yanga,anaipenda Yanga,na ataipenda Yanga daima na atarudi kundini kama Morisson na Metacha,tupo hapaKweli huko Yanga hakuna mwenye akili hata mmoja,yaani Saido Ntibazonkiza leo hii ni mchezaji wa Utopolo? Bora kukosa mali kuliko kukosa akili
Propaganda hizo
Tumemwagiza ajitoe kwa halina mali awasaidie,mpo ktk hali mbaya sanaMtaita maji mmaaa na anakiwasha hajawahi kukiwasha hivi akiwa utopoloni...
Usiusemee moyo....halafu si mnamuita babu?.akimaliza kuichezea simba akirudi huko atakua babu squareYule aliipenda Yanga,anaipenda Yanga,na ataipenda Yanga daima na atarudi kundini kama Morisson na Metacha,tupo hapa
Mtuletee na uji maana tuko taabaniTumemwagiza ajitoe kwa halina mali awasaidie,mpo ktk hali mbaya sana