ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
- Thread starter
- #21
Yule aliipenda Yanga,anaipenda Yanga,na ataipenda Yanga daima na atarudi kundini kama Morisson na Metacha,tupo hapaKweli huko Yanga hakuna mwenye akili hata mmoja,yaani Saido Ntibazonkiza leo hii ni mchezaji wa Utopolo? Bora kukosa mali kuliko kukosa akili