I ibanezafrica JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 7,261 Reaction score 6,553 Jun 19, 2021 #1 Japo tunakupongeza lakini upande mwingine tunasikitika kua umewahi mno kuipiga hiyo free kick, hiyo iliwafaa sana wale jamaa...maana ungekua ni msumari muhimu mno...lakini bado hata hivyo ngoma itaishia Yanga 1 Wao 0
Japo tunakupongeza lakini upande mwingine tunasikitika kua umewahi mno kuipiga hiyo free kick, hiyo iliwafaa sana wale jamaa...maana ungekua ni msumari muhimu mno...lakini bado hata hivyo ngoma itaishia Yanga 1 Wao 0
Nick girland JF-Expert Member Joined Jan 13, 2020 Posts 291 Reaction score 200 Jun 19, 2021 #2 Kwani mtakuja?.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jun 19, 2021 #3 Ngoja tuone...