Saidor Ungesubiri Free Kick hiyo Ungeifunga July 3

Saidor Ungesubiri Free Kick hiyo Ungeifunga July 3

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Japo tunakupongeza lakini upande mwingine tunasikitika kua umewahi mno kuipiga hiyo free kick, hiyo iliwafaa sana wale jamaa...maana ungekua ni msumari muhimu mno...lakini bado hata hivyo ngoma itaishia
Yanga 1 Wao 0
 
Back
Top Bottom