Saikolojia inavyotatua tatizo la mwanaume kufika kileleni mapema!

Saikolojia inavyotatua tatizo la mwanaume kufika kileleni mapema!

KingPin

Member
Joined
Jul 21, 2009
Posts
11
Reaction score
3
Malalamiko yanayotolewa na baadhi yao yanaonesha kwamba, muda wa kumaliza tendo huwa kati ya nusu dakika na dakika tatu kwa tendo la kwanza, huku wengine wakimaliza hamu katika hatua za awali tu za hamasa ya kimahaba..
 
Huyu mwandishi hajatoa suluhisho ameandika kitu kinachojulikana

Kwa kufahamu mikinzamo iliyopo kati ya akili na tiba ya nguvu za kiume na madhara yachipukiayo imebainika kuwa, mtu anaweza kujitibu tatizo hilo kwa kutumia kanuni za kisaikolojia na mafanikio yasiyo na madhara yakapatikana. Wataalamu wa kisaikolojia wanatambua kuwa kanuni ya ufanyaji mapenzi iko zaidi kwenye ubongo kuliko mwilini. Kinachotokea hadi mtu akapata msisimko wa kufanya mapenzi si mwitikio wa mwili, bali ni utambuzi wa akili juu ya kiwango cha mapenzi kilichopokelewa kwenye ubongo unaojihusisha na hisia.
 
Back
Top Bottom