Saikolojia: Ishara zinazoonesha wewe ni handsome/una mvuto wa kiume tofauti unavyodhani

Ulichoandika ni sahihi kabisa mkuu hilo naliona sana kwangu,ninachoshukuru hela sina,ila nadhani ni makusudio ya Muumba nisife na ukimwi.
 
[emoji817][emoji818]
 
HAYAJA KUKUTA WEWE,
 
Mimi ni handsome lkn sijakutana hata na kimojawapo hapoπŸ˜€πŸ˜€
 
Namba tisa jamani uwiih hakika nilikua sipati jibu sahihi kwa hawa watu ila ndo ivo
 
Mkuu hiyo namba 1 kwangu mm naona sana tu.. Kweli Shombe LA kisomali nawaumiza warembo.. Alafu najikuta sina time nao kabisa
 
Hapo kwa mashoga ndo nimekusoma, Yani me wa kutongozwa with em transgenders?? damnit 😁😁 huwa namind sana but I'm still straight
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…