Saikolojia: Ishara zinazoonesha wewe ni handsome/una mvuto wa kiume tofauti unavyodhani

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi huyo shoga kuna sehemu hayupo vizuri, yaan anakwama wapi had kumsumbua mdogo wako.
Wewe acha tu mimi pia najiuliza swali hilihili dogo mwenyewe mwanafunzi
 
Nakubaliana na wewe kwa 100%,
Umepatia kwa asilimia zote..ndo maisha ninayopitia toka nikiwa mdogo mpaka leo niko mkubwa...yaani mdada anakutega anachoka anakuambia ukweli,ukikataa anakulilia mpaka basi...mara mwingine akuambie nataka unizalishe tu nitalea mwenyewe...fb na insta meseji zinajaa za salamu na kuomba namba...
Kuna watu watabisha,ukiwa handsome utajua tu...binafsi nayapitia haya wala sikupingi...yaani ukiamua unaweza kuwa na wanawake saba wapya kwa wiki...yaani mimi nimekua muoga yaani sina mazoea na wanawake tena maana nikizoeana nao tu wanataka mahusiano...bahati mbaya niko selective sana so mara nyingi nareject na hakuna watu wanachukia kukataliwa kama wanawake asiee...uhandsome ni adhabu
Tumeshajua ww ni mzuri hivyo lipia tangazo
 
Sijawahi amini km wapo mashoga wanao washobokea au kutongoza wanaume straight,

Huo muda wanautoa wapi? Km wapo kweli bas ni wale ambao hawana future yeyote ya kimaisha au wazee waliojichokea [emoji23][emoji23][emoji23].

Shoga smart na anayejitambua yupo buzzy kutafuta mahitaji ya kukidhi maisha yake tena kwa njia halali, na anakua na mwanaume m1 ambaye anatosheleza kwa kukidhi haja ya hisia zake ktk mwili,

Shoga anatakiwa atongozwe tena kwa heshima zote, mbona wanaume mabasha rijali na halisia wapo wengi tyuuh, sasa hao mashoga wanaoshobokea na kutongoza wanaume straight wanakwama wapi?
......
Kwa kuwa huu uzi unaongelea sana saikolojia,bahati mbaya nimejikuta mwana saikolojia kuamini wewe ni BWABWA [emoji817].
 
Sijawahi amini km wapo mashoga wanao washobokea au kutongoza wanaume straight,

Huo muda wanautoa wapi? Km wapo kweli bas ni wale ambao hawana future yeyote ya kimaisha au wazee waliojichokea [emoji23][emoji23][emoji23].

Shoga smart na anayejitambua yupo buzzy kutafuta mahitaji ya kukidhi maisha yake tena kwa njia halali, na anakua na mwanaume m1 ambaye anatosheleza kwa kukidhi haja ya hisia zake ktk mwili,

Shoga anatakiwa atongozwe tena kwa heshima zote, mbona wanaume mabasha rijali na halisia wapo wengi tyuuh, sasa hao mashoga wanaoshobokea na kutongoza wanaume straight wanakwama wapi?
......
1:-.........

2:-.........

3:-........

4:-........

5:-.......

Jazeni nafasi zilizoachwa wazi, Kila swali moja maksi 20
 
Sijawahi amini km wapo mashoga wanao washobokea au kutongoza wanaume straight,

Huo muda wanautoa wapi? Km wapo kweli bas ni wale ambao hawana future yeyote ya kimaisha au wazee waliojichokea [emoji23][emoji23][emoji23].

Shoga smart na anayejitambua yupo buzzy kutafuta mahitaji ya kukidhi maisha yake tena kwa njia halali, na anakua na mwanaume m1 ambaye anatosheleza kwa kukidhi haja ya hisia zake ktk mwili,

Shoga anatakiwa atongozwe tena kwa heshima zote, mbona wanaume mabasha rijali na halisia wapo wengi tyuuh, sasa hao mashoga wanaoshobokea na kutongoza wanaume straight wanakwama wapi?
......
Inawezekana ww n mmoja wapo maana unawajulia sana
 
Nakubaliana na wewe kwa 100%,
Umepatia kwa asilimia zote..ndo maisha ninayopitia toka nikiwa mdogo mpaka leo niko mkubwa...yaani mdada anakutega anachoka anakuambia ukweli,ukikataa anakulilia mpaka basi...mara mwingine akuambie nataka unizalishe tu nitalea mwenyewe...fb na insta meseji zinajaa za salamu na kuomba namba...
aiseee...yaani unatongozwa hivi hivi
 
Kuna watu watabisha,ukiwa handsome utajua tu...binafsi nayapitia haya wala sikupingi...yaani ukiamua unaweza kuwa na wanawake saba wapya kwa wiki...yaani mimi nimekua muoga yaani sina mazoea na wanawake tena maana nikizoeana nao tu wanataka mahusiano...bahati mbaya niko selective sana so mara nyingi nareject na hakuna watu wanachukia kukataliwa kama wanawake asiee...uhandsome ni adhabu
kwa hiyo ukimkataa inakuwa beef?
 
Sijawahi amini km wapo mashoga wanao washobokea au kutongoza wanaume straight,

Huo muda wanautoa wapi? Km wapo kweli bas ni wale ambao hawana future yeyote ya kimaisha au wazee waliojichokea [emoji23][emoji23][emoji23].

Shoga smart na anayejitambua yupo buzzy kutafuta mahitaji ya kukidhi maisha yake tena kwa njia halali, na anakua na mwanaume m1 ambaye anatosheleza kwa kukidhi haja ya hisia zake ktk mwili,

Shoga anatakiwa atongozwe tena kwa heshima zote, mbona wanaume mabasha rijali na halisia wapo wengi tyuuh, sasa hao mashoga wanaoshobokea na kutongoza wanaume straight wanakwama wapi?
......
Suala la ushoga ni gumu. Top kumfuata bottom na ikiwa sio ataonekana amedharau, bottom kumfuata Top ni simple hata ikiwa mtu hayuko interested haiharibu sana

Bottom wa kwanza niliyemla alinifuata yeye... Mimi kama Top huwa naogopa kumtongoza mwanaume kwa sababu kuna ambao huwa masharobaro na sio bottoms, so mitandao inasaidia kukutana ambako huwa sio kwa heshima kivile

The fact is mahusiano ya jinsia moja ni changamoto kwa Afrika
 
Back
Top Bottom