Saikolojia: Ishara zinazoonesha wewe ni handsome/una mvuto wa kiume tofauti unavyodhani

Saikolojia: Ishara zinazoonesha wewe ni handsome/una mvuto wa kiume tofauti unavyodhani

sisi wanaume mashababi wenye sura ngumu huu uzi hautusu.
giphy.gif
 
Boss vipi zile picha za suburbs ulikuwa unakuja kuwatambia watu humu zilete tena bana.. Tumezimiss sanaa..

Lakini unakumbuka kumtumia mazeri (cheupe) hata pesa ya nyama? IST ni million 12 tu showroom jitahidi umbadilishie gari sio gari ya marehemu mzee spana mkononi mpaka leo bimkubwa anajibana huko.. We si unamiliki billion 9 kwa Account huko majuu [emoji23][emoji23][emoji23]

Alafu pale mtaani kwenu tu ndo pamebaki na Bati za Lowassa. Fumua kule juu weka kigae cha Alaf, piga PVC kunguru wasinyee cealing maana imeshaoza. Paka rangi ile nyumba, kale kageti katoe weka geti lenye hadhi na wewe mmiliki wa billion 9..

Alafu ukirudigi bongo usikimbie majukumu ya nyumbani unaacha wanapika dagaa wewe unaenda shindia chipsi mayai na kuku pale kibanda umiza kwa mpemba. Acha uchoyo, hizi billion 9 unazomiliki mbadilishie Maza ako maisha pale home..
kiboko ya nyani.[emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi amini km wapo mashoga wanao washobokea au kutongoza wanaume straight,

Huo muda wanautoa wapi? Km wapo kweli bas ni wale ambao hawana future yeyote ya kimaisha au wazee waliojichokea [emoji23][emoji23][emoji23].

Shoga smart na anayejitambua yupo buzzy kutafuta mahitaji ya kukidhi maisha yake tena kwa njia halali, na anakua na mwanaume m1 ambaye anatosheleza kwa kukidhi haja ya hisia zake ktk mwili,

Shoga anatakiwa atongozwe tena kwa heshima zote, mbona wanaume mabasha rijali na halisia wapo wengi tyuuh, sasa hao mashoga wanaoshobokea na kutongoza wanaume straight wanakwama wapi?
......
Duuuuh!!
 
Kuwa tu SHOGA ni kutojitambua mno. Haya maneno mnatakiwa mjifunze kuyatumia,yaani Mtu shoga halafu unamnasibisha na "Usmart". Unakosea sana.

Ungekuwa muungwana ungefuta ulichokiandika.
 
Basi Biblia yenyewe nao ni wapuuzi?

Mbona ilimtaja Yusuph..jamaa kaleta hoja ya kisaikolojia ilivyo.

Wewe hujapinga kwa hoja..matokeo yake unapoyoma tuu humu.
Acheni ujinga wa kutumia vitabu vya dini kusapoti ushoga na hata hizo sifa za kichoko mnazotaja huwezi fananisha na Yusuph
 
Hahahah vijana tafuteni PESA hayo yote yatakuja
Iwe kusifiwa..kushobokewa hahahahg[emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]fu*k pesa
 
Juli tuletee tena screenshot zako za kumiliki Dola Million 4 hewa wakati mama anatembelea gari aliyoacha marehemu baba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kile kinyumba cha Mzee wako Survey ulibadilisha zile bati? Maana wapangaji walikuwa wanalalamika zinavuja
Kwamba humu mnajuana hadi majina??
 
Unaweza ukawa unatazamwa ukazani unapendwa kumbe Wanashangaa hilo komwe lako na vibarango vyako kichwani!!!

Au unapita na gari lako wanakutizama unazani umewashitua kumbe wanakushangaa vile gari lako lilivyokaa kama kiberenge, vioo havipandi wala kushuka, Chini linagonga utazani umebeba kabati la vyombo!
Hahahahahahahahahaahah
 
Nina mdogo wangu anasumbuliwa vibaya mno na shoga flan halafu huyo shoga yupo ofisi moja na mjomba wetu hapa tunamtiatia mikwara asipoelewa tutafikisha taarifa kwa ankor ushahidi wote tunao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi huyo shoga kuna sehemu hayupo vizuri, yaan anakwama wapi had kumsumbua mdogo wako.
 
Kuwa tu SHOGA ni kutojitambua mno. Haya maneno mnatakiwa mjifunze kuyatumia,yaani Mtu shoga halafu unamnasibisha na "Usmart". Unakosea sana.

Ungekuwa muungwana ungefuta ulichokiandika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeh sanaah.
 
Wewe ni shoga ?

Jambo ambalo hata hayawani hawalifanyi,seuze mwanadamu unalifanya bado unaona sawa au huelewi ninachokiandika nini ?

Hii pole ya nini ?
Poleeeeeeh kwa kuteseka. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijawahi amini km wapo mashoga wanao washobokea au kutongoza wanaume straight,

Huo muda wanautoa wapi? Km wapo kweli bas ni wale ambao hawana future yeyote ya kimaisha au wazee waliojichokea [emoji23][emoji23][emoji23].

Shoga smart na anayejitambua yupo buzzy kutafuta mahitaji ya kukidhi maisha yake tena kwa njia halali, na anakua na mwanaume m1 ambaye anatosheleza kwa kukidhi haja ya hisia zake ktk mwili,

Shoga anatakiwa atongozwe tena kwa heshima zote, mbona wanaume mabasha rijali na halisia wapo wengi tyuuh, sasa hao mashoga wanaoshobokea na kutongoza wanaume straight wanakwama wapi?
......
Mkuu we mmoja wao nini make kwa maongezi yako rangi imejidhihirisha.
 
Back
Top Bottom