Saikolojia ya Mahusiano: Fahamu tabia za watu wasiofanya maamuzi hayohayo mara mbili

Saikolojia ya Mahusiano: Fahamu tabia za watu wasiofanya maamuzi hayohayo mara mbili

WAZEE WA KUMOVE ON, NIMEMTONGOZA DEMU KAKATAA, OKAY THANKS NAENDELEA NA MAISHA YANGU...

Hii simu sh ngapi, laki 2, mimi nina 190..muuzaji haifai... haya basi poa kwaheri

straightforward people wako hivyo anataka kitu kimenyooka hataki konakona na akitoa maamuzi habadilishi
 
Back
Top Bottom