Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,851
- 9,472
hivi na sisi wanaume tukiamua kuvaa nguo fupi let say vipensi vidogovidogo vya jinsi vinavyoishia kwenye mapaja na nguo za juu zimekatwa mabegani enzi hizo zilikuwa zinaitwa carwash, tutakuwa tunawavutia akinadada?
mtakuwa mashoga/mashosti wetu.