OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Kama kawaida wakuu.
Sijawahi kumuona Mpanzu akicheza uwanjani kama ambavyo wana Simba wengi hawajawahi kumuona akicheza uwanjani.
Jana hotuba ya Mo akiwahutubia wwnachama alisema amesajili wachezaji 16 pia amemleta Mpanzu.
Yaani ktk wachezaji 16 mpanzu ni wa 17, katajwa kivyake. Ktk hao 16 wengi ni magarasa na aliyesajili ni yeye mwenyewe.
Mpanzu katajwa sababu anaimbwa sana mitandaoni ni maarufu sana hapa bongo hata wana Yanga tunamjua kwa majina japokuwa hatujawahi kumuona akicheza.
Kilichofanyika ni kuwapumbaza mashabiki na wanachama.
Kwa jinsi nilivyomsoma Mo, usajili wa Mpanzu sio wa kiufundi ni wa kisiasa, hotuba inaanza kwa kumsifia Mh Raisi SSH utazani yeye ni waziri wa michezo, hiyo ni defense mechanism asinyanga'nywe timu.
Mo mwenyewe hawaamini wachezaji wapya 16 tumaini lake ni Mpanzu na Raisi SSH ili kutimiza lengo lake la kuinunua SSC kiujanja ujanja ndio maana katoa ramani ya viwanja vya mpira vya SSC ili kutuliza upepo.
Nasema mapema kabisa usajili wa Mpanzu ni wa kisiasa mpanzu ni kama usajili wa skudu Yanga zile kelele na sifa mmezisahau?
Mtanielewa baadae.