Mkubwa hayo si kwako tu!
Falsafa ya wanawake takriban 80% ya dunia nzima inafanana .
Mf. Mie hua nna toolbox yangu for home use only !
Utundu ulinifunza mengi .
Bomba linavuja hom nakomaa nalo , siju stuli imevunjika mguu ninayo !
Sijui socket ya fridge imefanyaje , fridge haiwaki nacheza nayo .
Nina mpaka tools za kufungua simu. Sasa adui wangu mkubwa wa tools ni wife wangu .
Mi mwenyewe nauficha mkoba wangu room kwetu , coz wanangu nawajua ni watundu kwa kwenda mbele .
Mara unakuta kafanya usafi , mkoba kautoa .
Unauliza mkoba mbona siuoni ?
Jibu
"korokoro chumbani kwangu staki "
Ilhali aviitavyo korokoro ukivihesabu ni tools za karibu laki 3 !
Ukienda alipouhamishia mkoba unakuta tools flaniflani hazipo !
Wakati zikitengeneza pasi ya hom tunanyoosha wote!
Aaah wanawake Shkamooni .
Shukrani Judgement kwa kulieleza hili tatizo kiundani vizuri sana.Kumbe wewe pia ni mshabiki wa DIY kama mie? Ni marufuku fundi yoyote kuingia nyumbani kwangu eti anakuja kutengeneza kitu.Nina set nne ya spana za ring na fix,screw-drivers za star na flat,misumeno ya mbao na hack-saws, soldering gun na vingine viingi vya kurekebisha jambo lolote la kiufundi au teknolojia. Mie spana zangu na screw-drivers vinapata shida sana kutupwatupwa ovyo na waifu. Vinamsaidia lakini haoni umuhimu wake! Kila nikimsikia akisema jumamosi siendi kazini nataka kufanya usafi nahakikisha siku hiyo niko stand-by kuokoa vifaa vya ufundi vinavyovurumishwa!Mkubwa hayo si kwako tu!
Falsafa ya wanawake takriban 80% ya dunia nzima inafanana .
Mf. Mie hua nna toolbox yangu for home use only !
Utundu ulinifunza mengi .
Bomba linavuja hom nakomaa nalo , siju stuli imevunjika mguu ninayo !
Sijui socket ya fridge imefanyaje , fridge haiwaki nacheza nayo .
Nina mpaka tools za kufungua simu. Sasa adui wangu mkubwa wa tools ni wife wangu .
Mi mwenyewe nauficha mkoba wangu room kwetu , coz wanangu nawajua ni watundu kwa kwenda mbele .
Mara unakuta kafanya usafi , mkoba kautoa .
Unauliza mkoba mbona siuoni ?
Jibu
"korokoro chumbani kwangu staki "
Ilhali aviitavyo korokoro ukivihesabu ni tools za karibu laki 3 !
Ukienda alipouhamishia mkoba unakuta tools flaniflani hazipo !
Wakati zikitengeneza pasi ya hom tunanyoosha wote!
Aaah wanawake Shkamooni .
kumbe solution ipo............
Ni solution yenye maumivu Paloma!
ndugu yangu.....utanisema kuwa nna gubu.........lakini hakuna hata kastoo ka kuweza kuhifadhi vifaa vya ujenzi/toolboxes, etc mpk mlale navyo!
unaweza weka hata kwenye kakorido jamani unatafuta hata kijiturubai unafunika vizuri - mbona watu wataelewa! huko vyumbani paacheni pawe na hewa ya kutosha (especially katika jiji letu hili lenye majoto)
SHIEKA unajua kuna wale wanaolala na kuku, mbuzi, bata humo humo ndani! jamani!!! khaaaa!!!
mwisho wa siku -thread za watu kunukanuka kwenye madaladala zinakujakufunguliwa humu! kisa mavituvitu yanarundikwa tu hovyohovyo humo vyumbani! basi walau kuwe na mpangilio!
kama wewe ni mfukunyuku kuna watu wengi sana wanawekaga makorokoro yasiyotumika, sijui tunayaweka ya nini?!? ilhali hatuyatumii?!?! kuyagawa eti roho inauma- teh! ndo mana hakunaga mtumba kutoka afrika! siku mtu akihama jamani unakuta kuna makitukitu kibao yanatupwa hayana kazi mpaka unashangaa!
nadhani tujifunze jamani-kuweka vitu katika mpangilio na kuondoa makitu tusoyatumia!
hata maradhi yatapungua!
msalimie Judgement mwambie paloma keshapayuka!
marahaba shemeji
ndio mjue kutenga stoo
kwa ajili ya makorokoro yenu!!
Ni kuwavumilia tu Judgement. Woooooote wanafanana linapokuja swala la vifaa vya kiufundi nyumbani.
Itikia tu Shem , lakini
mnatudhuru sana nyie viumbe! Utasikia beki3 anaambiwa "rudisha haraka
glass zangu kabatini , mtanimalizia glass nikose hata za kuwapea wageni"
Hivi kumbe zile glass zenye nyonga na mahips sie wa ndani vigezo
hatuvikidhi kuzitumia ?