Saikolojia ya Wanawake na Usafi Yanigharimu!

Nimegundua sie wababa as known as DIY (kama uitavyo)
hua tuko baadhi wenye hoby , na baadhi , hata kubadili chock ya tube light hawajiwezi , weuuupee !


Mwingine hata kubadili bulb hauwezi. Huu ni ujuha uliopitiliza viwango.
 
Ni kuwavumilia tu Judgement. Woooooote wanafanana linapokuja swala la vifaa vya kiufundi nyumbani.


Hili mi sili afiki kabisa.

Siwezi kuvumilia hasara zinazozuilika.
 
Last edited by a moderator:
Yani tena hayo mavitu vitu yakaage tu hukoo mabandani au stoo

Tena msipokuwa makini na vitu vingine muhimu unakuta vimechomwa !

Mwishowe chumbani kunageuka kuwa karakana

Kuna kitu kimoja mi huwa chanikera sana

Labda ni mtu yupo likizo...heeeh ndo anageuka kuwa fundi radio,sijui tv na vingine ni vizima lakini vitafunguliwa funguliwa tuu...afu mtu apo ndo ushamaliza usafi mwenzio anavipanga mezani...aiseee, baasi tu
 

Ha ha haaaaaaaa. Unafanya usafi mpk unakoma.

Solution ni kuhifadhi toolbox sehem kama store au hata kama kuna banda la gari nje unatafuta sehem nzuri unahifadhi.

Madude mengine kukaa ndani vyumbani wala hayafai.

Na watakuta tunavitupa nje kila siku, au tunachoma moto kabisa.
 
Na ukigusa vitu vyake kama yupo anakuwaje mkalii...utasikia "unapeleka wapi hiyo..."

Ndo mana tunafanyaga wakiwa hawapo!!
 

marahabaaaa makorokoro chumbani ni marufuku lol hilo nilikuwa nikigombana na maza kila kukicha anapenda kuifadhi kila kitu hata misumari yenye kutu eti ina kazi kwa kweli tutagombana shurti uwe na stoo ha koridon uweke lakini sio chumbani
 
marahabaaaa makorokoro chumbani ni marufuku lol hilo nilikuwa nikigombana na maza kila kukicha anapenda kuifadhi kila kitu hata misumari yenye kutu eti ina kazi kwa kweli tutagombana shurti uwe na stoo ha koridon uweke lakini sio chumbani

Well noted hny
 

hahahaha hii ipo sana inatokana na wasichana kuvunja vyombo mara kwa mara inatokea anapofika mgeni huna hata glass ya maji......muhimu kutenge vyombo lakini vinavyotummika kwa familia viwe vya hadhi kama mgeni
 
chumbani kwa hitajika vitu vichache matool box na makorokoro mengine yatafutiwe sehemu yake
unakuta chumba kimejaa vitu hata kufanya usafi inakuwa ngumu mwishowe yanageuka mazalia ya mende panya chumba kinakuwa na hewa nzito
 
chumbani kwa hitajika vitu vichache matool box na makorokoro mengine yatafutiwe sehemu yake
unakuta chumba kimejaa vitu hata kufanya usafi inakuwa ngumu mwishowe yanageuka mazalia ya mende panya chumba kinakuwa na hewa nzito

haswaa, yaani huyu mbaba aligeuza chumbani kuwa store, hata ningekuwa mimi ningepeleka hukohuko aliko peleka mkewe lol!
 
Ahahahaha. Na mkiambiwa mjenge gerage ya ndani oooh zimepitwa na wakati. Sasa jamani chini ya uvungu kuna tool box sawa, ina grinder, drill, nyundo na msumeno, sijui waya. Kwani unataka kuniufoo saro? Hebu mie!
 
Mwenzenu nlikuwa na soap dish nilinunua naaza form V boarding nkaiweka chumbani kama kumbukumbu siku naitafuta naambiwa imetupwa, daah nilikasirika kimoyomoyo. Siku hizi nimenunua sanduku la bati kama yale watoto walikuwa wanaenda nayo boarding zamani ndio naweka old memories zangu (mchelemchele nk) na nalifunga kufuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…