Saimon Msuva amwaga wino miaka mitatu DH Al Jadid ya Morocco

Afadhali kidogo na yanga mjisikie sasa kutoa mchezaji akacheze kimataifa huko!

Samata wa Simba
 
Afadhali kidogo na yanga mjisikie sasa kutoa mchezaji akacheze kimataifa huko!

Samata wa Simba
Mbagala market wasemeje sasa ambako amecheza zaidi ya miaka 2...?[emoji23]
 
Afadhali kidogo na yanga mjisikie sasa kutoa mchezaji akacheze kimataifa huko!

Samata wa Simba
yanga wametoa mchezaji akawa mfungaji bora ligue 1,akacheza fainali uefa,akacheza epl,kama haitoshi akaifunga madrid ya zidane na nyota kibao
 
Basi inatosha Mkuu!

Kipindi hiko hakuwa amezaliwa mwenzko. hahahahhaha
na nyuma kabisa yanga ilipeleka ulaya mchezaji anaitwa sunday manara,alicheza na johan cruyf,fundi mwashi wa barcelona ya sasa..huyo manara hajapatapo kutokea mchezaji kama huyo tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…