Basi Nenda JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 20,774 Reaction score 47,866 Jan 3, 2019 #22 Hassan Mambosasa said: "Sisi tutakufa pamoja, wewe utakufa na nani? " Hii ni kauli Vivian na Complex walipenda kumwambia jamaa mmoja(jina limenitoka) ambaye alikuwa rafiki yao wa karibu mno. Ndiyo hivyo maneno huumba, kweli wakaenda pamoja. Click to expand... Jamaa hakua na demu au ? Sent using Jamii Forums mobile app
Hassan Mambosasa said: "Sisi tutakufa pamoja, wewe utakufa na nani? " Hii ni kauli Vivian na Complex walipenda kumwambia jamaa mmoja(jina limenitoka) ambaye alikuwa rafiki yao wa karibu mno. Ndiyo hivyo maneno huumba, kweli wakaenda pamoja. Click to expand... Jamaa hakua na demu au ? Sent using Jamii Forums mobile app
R Rwankomezi JF-Expert Member Joined Sep 5, 2013 Posts 3,285 Reaction score 2,636 Jan 3, 2019 #23 Amalinze said: Mkuu utakuwa umechanganya mwaka....2015 ni juzi tu......2005 mbwewe. Click to expand... Hacha kuzingua ww...soma Tena alichoandika mkuuu
Amalinze said: Mkuu utakuwa umechanganya mwaka....2015 ni juzi tu......2005 mbwewe. Click to expand... Hacha kuzingua ww...soma Tena alichoandika mkuuu
Hassan Mambosasa JF-Expert Member Joined Aug 2, 2014 Posts 3,359 Reaction score 4,528 Jan 3, 2019 #24 lucas mobutu said: Jamaa hakua na demu au ? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hakuwahi kusema, alisimulia tu alivyoambiwa hivyo na kina Complex masaa machache kabla ya hawajapata ajali
lucas mobutu said: Jamaa hakua na demu au ? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hakuwahi kusema, alisimulia tu alivyoambiwa hivyo na kina Complex masaa machache kabla ya hawajapata ajali