Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa hakua na demu au ?"Sisi tutakufa pamoja, wewe utakufa na nani? "
Hii ni kauli Vivian na Complex walipenda kumwambia jamaa mmoja(jina limenitoka) ambaye alikuwa rafiki yao wa karibu mno. Ndiyo hivyo maneno huumba, kweli wakaenda pamoja.
Mkuu utakuwa umechanganya mwaka....2015 ni juzi tu......2005 mbwewe.
Hakuwahi kusema, alisimulia tu alivyoambiwa hivyo na kina Complex masaa machache kabla ya hawajapata ajali