Duuuh memory nzuri sn mkuu, Kitima alikuwa mbabe hatarii, yaani hata sisi aliwahi kutuzingua kuhusu namba kwakosalakutokumalizia fees, kumbe umeishi dafull mie nilikuwa sweya then nikahamia maeneo ya quick choice maeneo ya manyara sehemu inaitwa kwa masha, palikuwa pazuri sn hostel zimetulia kadhalika na gym ikafunguliwa basi ilikuwa burudani tupuuHivi zile hostel za kule Darfull bado zipo??? Nimeishi pale darfull miaka yangu mitatu pindi nasoma Saut,nilikua chumba 210 next to my room alikua anaishi Bwana Moses Machali.... Kitima bado VC Saut?? Huyu jamaa ni mbabe hatari.... Kuna siku loan board walichelewa kulipa Schoo Fee, tukaenda kuongea na Kitima,tukamwambia Waziri wa Elimu kasema tufanya paper, serikali watalipa hela baadae, Jamaa alijibu kwa mkato hua naamulishwa na watu wawili tu, Papa na Kadinali Pengo, Mkitaka nimpigie hata Rais Kikwete muongee nae, Nimesema sitoi number hapa..... Tukawa wapole kama sisimizi.... Bado kama lisaa limoja hivi kuanza paper....Jamaa ndo akaruhusu tupewe number.... Sasa wewe uko Malimbe, unachukua boda kwenda main campus kuchukua number,zen urudi malimbe kufanya paper.... Yaan huyo jamaa sitamusahau kabisa kwenye maisha yangu
Duuuh memory nzuri sn mkuu, Kitima alikuwa mbabe hatarii, yaani hata sisi aliwahi kutuzingua kuhusu namba kwakosalakutokumalizia fees, kumbe umeishi dafull mie nilikuwa sweya then nikahamia maeneo ya quick choice maeneo ya manyara sehemu inaitwa kwa masha, palikuwa pazuri sn hostel zimetulia kadhalika na gym ikafunguliwa basi ilikuwa burudani tupuu
Ingia kwenye profile yako wameweka selectionWadau vip Sauti Mwanza wametoa majina
nashukuru mkuu nishaona, wameachia tayariHebu ngoja tuwasubiri wadau mkuu watakuja kutujibu
Hongera sana mkuu hili ndilo lengo kuu kupashana habari mbali mbali za hivi punde na zijazo, hope wengi wanasaut watakuwa wameona majina yao vzr, mkuu safii sana nakupongeza sn.Nimewawekea majina ya walio chaguliwa saut mwanza kwa wale walio chaguliwa zaid ya chuo kimoja ambao hawakupata nafasi ya masomo kama batch one na joining instraction karibuni