Nimemaliza 2014....main campusWow!!! Umemaliza mwaka upi?
Vipi kuhusu gharama za hostel na chakula?PRMA hongera sana kikubwa mkazo wakutoshaa
Msuli wa sauti ni kukaza sana lasivyo unaweza ukasoma degree miaka 6. Na utake usitake utasoma french haijalishi cozi hata kama ni engineering french lazima mwaka mzimaMbn msuli hamsemi
Maisha nafuu sana pale, utakula sato paka wakukinaii.Vipi kuhusu gharama za hostel na chakula?
hahaha, dada white amejiongezea na mkorogo juu! Kumbe bado yupo kitaa cha Nyamalango! Nyakati zimekwenda wapi?Ukifika malimbe jitahidi sana kumfahamu MAMA WHITE pale nyamalango....!! Utapata chakula cha bei NAFUU mno...!!
[HASHTAG]#naipenda[/HASHTAG] mwanza
ulisoma course gan?Nimemaliza 2014....main campus
Nilisoma BASO mbwembwe......wewe ulisoma course gani?ulisoma course gan?
Mimi nilikuwa PR mwili mzimaNilisoma BASO mbwembwe......wewe ulisoma course gani?
Hahaha kweli PR wauza sura.....ulimaliza mwaka gani?Mimi nilikuwa PR mwili mzima
Yap mi pia nilikuwepo hapo 2008-2011 mkuu nilianzia pia swea nikahamia kwa Marsha mbele ya quick choice maeneo Yale mbele ya hostel za manyara piaNilikuwa hapo main campus kuanzia 2010 -2013 nilikuwa nakaa pande za swea badae nikahamia glory to god karibia na nyamalango pale...isee umenikumbusha mbali sana mkuu
hivi vyuo vyenu .com vya juzi juziWanajamii forums nimeanzisha uzi huu mahsusi kwa wanafunzi wote wa chuo kikuu cha Mtakatifu Agustino Mwanza na campus Zoote za Tanzania. Tulio Maliza na tunaoendelea wote ni wanasaut. Karibuni tujadili mambo mbali mbali yahusuyo chuo tufahamiane na maisha ya chuo kwa ujumla. Karibuni sana.
SAUT WE BUILD THE CITY OF GOD.View attachment 602355
Asante