Saint Augustine University of Tanzania (SAUT) Special Thread

Nimechaguliwa b of arts in economics saut siifaam nilitaka education Kuna anaefaham hiyo faculty
 
about.jpg
 
Daaah ,,,,nakumbuka siku ya kwanza ya vipindi pale saut nilipotea sana madarasa ....mbaya ZAIDI sikuudhuria orientation ...na ratiba inanichanganya.
Nimesoma na LLB 3/MARAKADHAA.
KARIBUNI TULIJENGE JIJI LA MUNGU.
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] mkuu hata mimi nilipoteaga sana
 
Daaah ,,,,nakumbuka siku ya kwanza ya vipindi pale saut nilipotea sana madarasa ....mbaya ZAIDI sikuudhuria orientation ...na ratiba inanichanganya.
Nimesoma na LLB 3/MARAKADHAA.
KARIBUNI TULIJENGE JIJI LA MUNGU.
Hahaha daaah ukute hata group work ulifanya nao mkuu, umenifurahisha sana
 
Back
Top Bottom