Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi mkuu wale wanaojibu mitihani ya kingereza kwa kiswahili wewe una waweka wapi?Hiki ni moja ya vyuo vya kata kariba ya UDOM.
Mimi apa naomba namba akoKama wewe ni Mwanafunzi njoo inbox nkupe fursa itakayo kufanya uishi Kama mfalme chuoni. Fursa itakayo kuwezesha na kukurahisishia Maisha yako hapo chuoni kiuchumi.
Uwe na smartphone tu.
Sasa main campus apo2 dingii naenda kwa miguu chap dakika5 toka Mikumi hostelHivi zile hostel za kule Darfull bado zipo??? Nimeishi pale darfull miaka yangu mitatu pindi nasoma Saut,nilikua chumba 210 next to my room alikua anaishi Bwana Moses Machali.... Kitima bado VC Saut?? Huyu jamaa ni mbabe hatari....
Kuna siku loan board walichelewa kulipa Schoo Fee, tukaenda kuongea na Kitima,tukamwambia Waziri wa Elimu kasema tufanya paper, serikali watalipa hela baadae, Jamaa alijibu kwa mkato hua naamulishwa na watu wawili tu, Papa na Kadinali Pengo, Mkitaka nimpigie hata Rais Kikwete muongee nae, Nimesema sitoi number hapa.....
Tukawa wapole kama sisimizi.... Bado kama lisaa limoja hivi kuanza paper....Jamaa ndo akaruhusu tupewe number....
Sasa wewe uko Malimbe, unachukua boda kwenda main campus kuchukua number,zen urudi malimbe kufanya paper....
Yaan huyo jamaa sitamusahau kabisa kwenye maisha yangu
Kasome UDOM uone kitakachokukutaHiki ni moja ya vyuo vya kata kariba ya UDOM.
Kamaanisha kwambaMkuu 2009 si alikuwa chuoni huyu anasoma PRMA