PreGE2025 Saipulan Ramsey: CHADEMA yahitaji uchunguzi wa Afya ya Akili kwa Kauli yao No reform No Election

PreGE2025 Saipulan Ramsey: CHADEMA yahitaji uchunguzi wa Afya ya Akili kwa Kauli yao No reform No Election

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Katibu mwenezi wa CCM azungumza kuhusiana na kauli ya chama chademokrasia na maendeleo chadema No reform No Election nakusema kile chama kinahitaji kipelekewe daktari wa kupima afya ya akili
Hoja inajibiwa kwa hoja sio kioja. No Reform No Election ni falsafa pana sana hivyo utulivu wa akili kuidadavua.
 
Back
Top Bottom