wanasemaje kuhusiana na majina mapya ya nyongeza ya awamu ya tatu.
je lile tangazo la kuandika barua lina wahusu..? kumbuka tangazo lilitoka kabla ya tarehe 30 sept lakini majina ya nyongeza yametoka jana..swali langu haya majina mapya ya nyongeza nilazima kwenda jkt na swala la barua lina wahusu au haliwahusu..na ukumbuke kuwa haya majina yanyongeza ni kwa wale waliopata dv 4 na 0
Weye adui au rafiki?
Umeoa au bado?
Unazijua kanuni tatu za afya bora?
Dalala tupu inachuku masaa mawili manzese hadi ferry, je daladala hiyo hiyo itachukua muda gani ferry hadi manzese ikiwa imejaza abiria full capacity?
Hilo swali niliuliza, na nilijibiwa hivi, Nanukuu
Adhabu ya kutoleta barua kwa saivi, tukikubaini ima uende ukatumikie mafunzo kwa wakati huo, au wakuongeze muda wakati utakapokuwa umehitimu chuo" mwisho wa kunukuu