"Saivi nipo makao makuu JKT unaswali niulize"..

huyo raisi ni mmoja wa hizo nchi mbili au

...yaah ! tangu jadi mbabe ndo anakuwa mtemi, so kama vipi zipigwe heshima iwepo,waulizeni wanajeshi kama wako tayari,ila wakumbuke vita ya sikuhizi sio ya kukimbia na mabunduki mkononi na teknologia zaidi...
 

majina yameongezwa tena hadi wale ambao hawakuepo tar 28. Kwaio we kama unaherufi kuanzia k to z. Jicheki upo kambi gani
 

nina swali kama hili japo nseme tu kwamba sio wale wenye 4 tu hata three wamo,
Naomba nijue mwisho ni lini ama je inawahusu au la
 
Kwanini vijana wetu waliokufa huko jkt katika mazingira ya utatanishi hawakufanyiwa uchunguzi wa kitaalamu (post mortem)kubaini sababu ya vifo vyao?au kwa sababu ni jeshi kwahiyo wana uwezo wa kuua makuruta na kutoa sababu za vifo hivyo kutoka kwenye vichwa vyao?kwa hali hii ukweli wa vifo hivyo utajulikana vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…